Rais Magufuli akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kuwasili Mkoa Simiyu Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara ya siku mbili
Rais Magufuli akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kuwasili Mkoa Simiyu Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara ya siku mbili
Rais Magufuli akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kuwasili Mkoa Simiyu Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara ya siku mbili
Rais Magufuli akizungumza na wananchi wa Masanzakona (hawapo pichani) Wilayani Busega mara baada ya kuwasili Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara ya siku mbili mkoani Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Dkt.Titus Kamani(kushoto) wakimsililiza Rais Magufuli alipokuwa akizungumza na wananchi wa Masanzakona Busega, mara tu baada ya kuwasili Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara yasiku mbili mkoani humo.
Rais Magufuli akizungumza na wananchi wa Masanzakona Wilayani Busega mara baada ya kuwasili Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara ya siku mbili mkoani Simiyu
Rais Magufuli akizungumza na wananchi wa Masanzakona Wilayani Busega mara baada ya kuwasili Januari 11, 2017 kwa ajili ya ziara ya siku mbili mkoani Simiyu
Wananchi wa Masanzakona wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
Baadhi ya wananchi wa Lamadi wilayani Busega wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli alipopita wakati wa ziara yake Januari 11, 2017 Mkoani Simiyu.
Kutoka kushoto Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Anthony Mtaka, Rais Magufuli, Mkuu wa Wilaya yaBariadi,Mhe.Festo Kiswaga wakielekea kweny jengo la Hospitali ya Mkoa Simiyu, wakati wa ziara ya Mhe.Rais mkoani humoJanuari 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Mbunge wa Bariadi, Mhe.Andrew Chenge mara baada ya kuwasili katika eneo la ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Simiyu wakati wa Ziara yake mkoani humo mwezi Januari 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akielekea katika eneo la jiwe la msingi la Hospitali ya Mkoa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi Hospitali ya mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mwezi Januari mwaka 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikagua jengo la Hospitali ya Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo mwezi, Januari 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikagua jengo la Hospitali ya Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo mwezi, Januari 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikagua jengo la Hospitali ya Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo mwezi, Januari 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikagua jengo la Hospitali ya Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo mwezi, Januari 2017.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na kikundi cha ngoma asili ya Wasukuma alipowasili Mjini Bariadi, wakati wa ziara yake mkoani Simiyu
Vijana wa Halaiki wakiimba wimbo maalum wa Mkoa wakati wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt.John Pombe Magufuli
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) wakati wa zara yake Mjini Bariadi Januari 11, 2017
Kwaya ya Walimu Wilaya ya Bariadi wakitumbuiza kwa wimbo wao wakti wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wilayani Bariadi Januari 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka wakiteta jambo wakati wa ziara yake mkoani Simiyu Januari 11, 2017
Kwaya ya AICT Bariadi wakitumbuiza kwa wimbo wao wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wilayani Bariadi Januari 2017
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Dkt.Titus Kamani akiwasalimia wananchi, wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli mkoani humo mwezi Januari 2017.
Mbunge wa Bariadi, Mhe.Andrew Chenge akizungumza na wananchi wa Bariadi wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Mkoani Simiyu Januari 2017.
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Maguful mkoani humo mwezi Januari 2017
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akitoa salamu za Mkoa wakati wa Ziara ya ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, mkoani humo mwezi Januari 2107.
Waziri wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wananchi wa Bariadi, wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli mkoani Simiyu, mwezi Januari 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo, mwezi Januari 2017.
Wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa ziara yake mkoani humo mwezi Januari, 2017
Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa ziara ya Rais Magufuli
Baadhi ya Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakimwonesha bango Rais Magufuli wakati wa ziara yake mkoani humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifungua barabara ya Lamadi-Bariadi yenye urefu wa KM 70.1 iliyojengwa kwa kiwango cha lami wakati wa ziara yake mkoani Simiyu, Mwezi Januari 2017.
Rais Magufuli akipanda mti baada ya kufungua barabaraya Lamadi-Bariadi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa barabara ya Lamadi-Bariadi yenye urefu wa Km 70.1
Viongozi mbalimbali wakishangilia baada ya utepe kukatwa na Mhe.Rais Ishara ya Ufunguzi wa barabara ya Lamadi-Bariadi
Rais Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya ufunguzi wa barabara ya Lamadi-Bariadi
Rais Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wa Mkoa wa Simiyu baada ya ufunguzi wa barabara ya Lamadi-Bariadi
Rais Magufuli akiwapungia mkono wananchi waWilaya ya Maswa baada ya kuwasili wilayani hapo wakati wa ziara yake, (kulia) Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt.Seif Shekalaghe
Rais Magufuli akizungumza na wakazi wa Maswa waliofika eneo la Kiwanda chaki ambapo pia alitembelea duka la maziwa(MEATU MILK) la Vijana wa MEATU
Baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Simiyu wakishangilia jambo wakati Rais Magufuli alipozungumza na wakazi wa Maswa waliofika kwenye eneo la kiwanda cha chaki na duka la maziwa ya Meatu
Rais Magufuli akionesha Maziwa yanayosindikwa wilayani Meatu chini ya Falsafa ya Mkoa wa Simiyu ya "Wilaya Moja Bidhaa Moja"
Kikundi cha Ngoma cha Simba Mchawi cha Wilayani Maswa wakitoa burudani wakati wa ziara ya Mhe.Rais Magufuli wilayani humo Januari 12, 2017.
Kwaya ya Walimu Maswa wakitoa burudani wakati wa ziara ya Rais wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa ziara yake wilayani humo Januari 12, 2017.
Baadhi ya Viongozi wakiwatuza waimbaji wa Kwaya ya Walimu wa Wilaya ya Maswa wakati wa ziara ya Rais Magufuli Januari 12, 2017.
Mkuu wa Wilaya ya Maswa,Dkt.Seif Shekalaghe akitambulisha baadhi ya viongozi wa kati wa Ziara ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli wilayani humo, Januari 12, 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akitoa salamu za Mkoa wakati wa ziara ya Rais Magufuli mkoani humo(wilayani Maswa) Januari 12, 2017.
Wananchi wa Wilaya ya Maswa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwa kwenye ziara wilayani humo Januari 12, 2017.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Mhe.Stanslaus Nyongo akizungumza na wananchi wa Maswa wakati wa ziara ya Rais Magufuli wilayani humo Januari 12, 2017
Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mhe.Mashimba Ndaki akizungumza na wananchi wa Maswa wakati wa ziara ya Rais Magufuli wilayani humo Januari 12, 2017
Waziri wa Ujenzi, miundombinu na Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa akizungumza na wananchi wa Maswa wakati wa ziara ya Rais wa Tanzania,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wilayani humo, Januari12, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Maswa wakati akiwa katia ziara yake wilayani humo Januari 12, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiweka jiwe la Msingi, ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi- Maswa (Januari 12, 2017) itakayojengwa kwa kiwango cha lami
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Anthony Mtaka (mwenye koti) na baadhi ya viongozi wakipanda mti katika eneo la jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa lililowekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Januari 12, 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack (mwenye ushungi mweupe) na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Simiyu wakipanda mti katika eneo la jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa lililowekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Januari 12, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi walioshuhudia akiweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Mwigumbi -Maswa wilayani Maswa, Januari 12, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa itakayojengwa kwa kiwango cha lami, wakati wa ziara yake wilayani Maswa Januari 12, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe.Esther Midimu baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa itakayojengwa kwa kiwango cha lami, wakati wa ziara yake wilayani Maswa Januari 12, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe.Leah Komanya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Simiyu, mkandarasi na watumishi wanaojenga barabara ya Mwigumbi-Maswa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Simiyu mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo, Januari 12, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Maswa Mkoani wa Simiyu mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo, Januari 12, 2017
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa