Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda(wa pili kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(wa pili kulia) wakionesha Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu kwa wadau wa Maendeleo wa Mkoa huo mara baada ya uzinduzi uliofanyika Machi, 15, Mjini Bariadi.
Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka wakiwa wameshika nakala za Mwongozo wa Uwekezaji ikiwa ni maandalizi ya kufanya uzinduzi wa mwongozo huo Mjini Bariadi.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(katikati) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa kiuchumi na Kijamii(ESRF),Dkt.Tausi Kida (kulia) na Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda (kushoto) wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu Machi, 15, Mjini Bariadi.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Dkt. Fredrick Sagamiko akichangia jambo katika mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu Uliofanyika Mjini Bariadi.
Kaimu Afisa TEHAMA wa Sekretarieti ya Mkoa, Bw.Edgar Mdemu(kushoto) akimuonesha Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda(wa pili kushoto) na viongozi wengine Tovuti ya Mkoa wa Simiyu, inayotambulika kwa anuani ya www.simiyu.go.tz kabla ya kuizindua leo Mjini Bariadi.
Baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Simiyu wakimsikiliza Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda( hayupo pichani) katika mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu Uliofanyika Mjini Bariadi.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa kiuchumi na Kijamii(ESRF),Dkt.Tausi Kida akizungumza na Viongozi, watendaji na wadau wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani humo.
Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Viongozi, watendaji na wadau wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani humo.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mhe. Mashimba Ndaki akichangia jambo katika mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu Uliofanyika Mjini Bariadi.
Kutoka kushoto, Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa kiuchumi na Kijamii(ESRF),Dkt.Tausi Kida, Katibu Tawala Mkoa, Ndg.Jumanne Sagini, Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP) Hawa Dabo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Braiadi, Mhe.Robert Lweyo na Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe.Tano Mwera wakiwa katika uzinduzi wa Mwongozo wa uwekezaji Mkoani Simiyu
Mbunge wa Jimbo la Itilima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Mkoani Simiyu, Mhe.Njalu Silanga akichangia jambo katika mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu Uliofanyika Mjini Bariadi.
Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda ( wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Simiyu na wadau wa maendeo wa mkoa huo mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa huo Mjini Bariadi.
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP) Hawa Dabo akizungumza na Viongozi, watendaji na wadau wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu ( baadhi hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani humo.
Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda ( wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Simiyu na wadau wa maendeo wa mkoa huo mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa huo Mjini Bariadi.
Baadhi ya wadau wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu wakimsikiliza Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda( hayupo pichani) katika mkutano wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu Uliofanyika Mjini Bariadi.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa