Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akijiandaa kukata utepe kwa ajili ya kufungua Kiwanda cha Maziwa Wilayani Meatu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Kiwanda cha Maziwa Wilayani Meatu, Oktoba 12, 2016
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akifungua Kiwanda cha Maziwa Wilayani Meatu kinachoendeshwa kwa ubia kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Meatu na Viikundi vya vijana, Oktoba 12, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akishangilia baada ya kufungua kiwanda cha kusindika maziwa Wilayani Meatu, Oktoba 12, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akipata maelezo ya usindikaji wa maziwa mara baada ya kufungua kiwanda hicho Oktoba 12,2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akielezwa juu ya vitu mbalimbali vinavyotumiwa katika usindikaji wa maziwa mara baada ya kufungua kiwanda cha kusindika maziwa Wilayani Meatu Oktoba 12,2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akioneshwa vifungashio vinavyotumika kusindika maziwa mara baada ya kufungua kiwanda cha kusindika maziwa Wilayani Meatu Oktoba 12,2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akiangalia moja ya chupa yenye maziwa mara baada ya kufungua kiwanda cha kusindika maziwa Wilayani Meatu Oktoba 12,2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya vijana wanaosindika maziwa(hawapo pichani) mara baada ya kukagua na kufungua kiwanda hicho Wilayani Meatu Oktoba 12,2016.
Viongozi wa Kitaifa na Kimkoa wakisikiliza taarifa ya mradi wa kiwanda cha kusindika maziwa kutoka kwa mwakilishi wa Vijana wanaendesha kiwanda cha kusindika maziwa (MEATU MILK) mara baada ya kiwanda hico kuzinduliwa Oktoba 12, 2016.
Baadhi ya Watumishi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri wa Mkuu Sera, Bunge, Kazi,Ajia, Vijana na Watu Wenye ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama (hayupo pichani) baada ya uzinduzi wa kiwanda cha Kusindika maziwa (MEATU MILK) Oktoba 12,2016
Baadhi ya Vijana wanaojishughulisha na usindikaji wa Maziwa (MEATU MILK)
Kiongozi wa Kikundi cha Vijana wa Meatu akiwasilisha risala kwa niaba ya wenzake kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kiwana cha kusindika maziwa wialayaniMeatu kuzinduliwa Oktoba 12, 2016
Baadhi ya viongozi wa Wilaya Meatu, mkoa wa Simiyu na viongozi wa kitaifa wakicheza muziki na Vijana wa Meatu ishara ya kufurahia uzinduzi wa Kiwanda cha Maziwa wilayani Meatu.
Naibu Waziri wa kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde akizungumza na Vijana na wananchi wa Meatu baada ya Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe. Maudline Castico mara baada ya kuzindua kiwanda cha maziwa Meatu akizungumza na Vijana na wananchi wa Meatu baada ya Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na Vijana na wananchi wa Meatu baada ya Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi zawadi ya maziwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka mara baada ya kuzindua kiwanda cha maziwa Meatu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi zawadi ya maziwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe. Maudline Castico mara baada ya kuzindua kiwanda cha maziwa Meatu
Naibu Waziri wa kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mbunge wa Jimbo la Meatu, Mhe. Salum Mbuzi akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mbunge wa JViti Maalum (CCM), Mhe.Leah Komanya akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mkurugenzi wa Idara ya VIJANA katika Ofisi ya Waziri Mkuu,James Kajugusi akipokea zawadi kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Dkt.Titus Kamani akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Rachel Kasanda akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mhe. Pius Machungwa akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Fabian Manoza akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kufungua kiwanda cha maziwa Meatu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na vijana na wananchi wa Meatu mara baada ya kuzindua kiwanda cha kusindika maziwa wilayani humo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (waliokaa) wa nne) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, na Vijana wa Meatu Milk
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa