Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka(kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , Mhe.Jenista Mhagama wakati wa Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Oktoba 14, 2016.
Askofu wa Jimbo Kuu la Shinyanga, Liberatus akiongoza Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Mapadri wa Jimbo kuu la Shinyanga wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi Oktoba 14, 2016.
Baadhi ya viongozi wa Kimkoa na Kitaifa wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu
Baadhi ya viongozi wa Kimkoa na Kitaifa wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi, Oktoba 14, 2016.
Waimbaji wa Kwaya wa Kanisa la Mtakatifu Yohana wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa hilo Mjini Bariadi, Oktoba 14, 2016.
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Mtakatifu Yohana wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa hilo Mjini Bariadi, Oktoba 14, 2016.
Askofu wa Jimbo Kuu la Shinyanga, Liberatus Sangu na Mapadri wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Askofu wa Jimbo Kuu la Shinyanga, Liberatus Sangu na Mapadri wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Mtakatifu Yohana wakiwa katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa hilo Mjini Bariadi, Oktoba 14, 2016.
Askofu wa Jimbo Kuu la Shinyanga, Liberatus akiongoza Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Kwaya kutoka Kanisa la Katoliki Mjini Bariadi wakiimba wimbo maalum wa Hayati Baba wa Taifa wakati wa ibada ya kumbukumbu ya kifo chake kilichotokea miaka 17 iliyopita.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka akiwatambulisha viongozi wa Serikali (hawapo pichani)walioshiriki katika Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Baadhi ya Viongozi wa Kimkoa na Kitaifa walioshiriki Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Vijana, Wazee,Wanawake na Watoto wa Zanzibar , Mhe. Moudline Castico akizungumza na viongozi na wananchi walioshiriki Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, mwl. Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye ulemavu , Mhe. Jenista Mhagama akitoa salamu za Serikali walioshiriki katika Ibada Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Vijana watumikiaji wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi wakiongoza viongozi walioshiriki ibada maalum ya Kumbukumbu ya Mwl. Julius K. Nyerere
Kwaya kutoka Kanisa la Kotoliki Mjini Bariadi wakiimba mara baada ya kuhitimisha Ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa hilo Oktoba 14,2016
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu(mwenye kofia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa dini walishiriki Ibada ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Oktoba 14, 2016 Mjini Bariadi.
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu(mwenye kofia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Kimkoa walioshiriki Ibada ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Oktoba 14, 2016 Mjini Bariadi katika Kanisa la Mtakatifu Yohana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akisaini ktabu cha wageni mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa maonesho ya shughuli za vijana, wakati wa Kilelecha Mbio za Mwenge wa Uhuru, wiki ya vijana na Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl.J. K. Nyerere Oktoba 14 2016 Mjini Bariadi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea maelezo ya awali juu maonesho ya shughuli za vijana kutoka kwa Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi,Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa