Awamu ya Tatu ya TASAF ilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, tarehe 15 Agosti 2012 mjiniDodoma. Wakati wa uzinduzi, Mhe. Rais alionyesha kuridhishwa kwake namafanikio makubwa ya utekelezaji wa awamu mbili za TASAF zilizotanguliana akaagiza awamu ya Tatu ya TASAF inayotekeleza Mpango wa KunusuruKaya Maskini iendeleze yale mazuri yote yaliyopatikana pamoja na kuongezaubunifu na ufanisi katika kutekeleza Mpango huu
MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI.pdf
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa