Posted on: July 14th, 2019
Waziri wa nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo ametoa agizo kuwa ifikapo Julai 30, 2019 hospitali zote za wilaya zinazojengwa nchini ziwe zimekamilika...
Posted on: July 13th, 2019
Serikali mkoani Simiyu kwa kushirikiana na wadau Shirika liliso la kiserikali la InterHelath imeanzisha huduma ya tohara kinga kwa watoto wachanga na tayari zoezi hilo limekwishaanza wilaya ya Meatu a...
Posted on: July 12th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga amewaomba wadau wa afya waliopo mkoani Simiyu kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya kwa kutenga bajeti kwa ajili...