Posted on: August 29th, 2020
Wastaafu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu wamewaasa watumishi wa umma kumtanguliza Mungu, kuwa waadilifu na kujituma ili waweze kutimiza wajibu wao sawa sawa kwa maslahi yao binafsi na Taifa kwa...
Posted on: August 28th, 2020
Mkoa wa Simiyu umeahidi kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya Maulidi ya Kitaifa inayotarajia kufanyika Oktoba mkoani Kagera.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam...
Posted on: August 27th, 2020
Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) kimeahidi kuwa kiko tayari kuanzisha kituo cha kupima makohozi kwa kutumia panya waliofundishwa kubaini vijidudu vya Ugonjwa wa Kifua Kikuu ambao ...