Posted on: November 12th, 2020
Matumizi ya viuatilifu chini ya kiwango kilichoelekezwa, matumizi yasiyo sahihi ya viuatilifu,unyunyiziaji na utunzaji wa viuatilifu usio sahihi na uwezo mdogo wa wakulima kutambua visumbufu vya mazao...
Posted on: November 7th, 2020
Kampuni ya Simu za Mkononi ya TIGO Mkoa wa Simiyu imetoa msaada wa karatasi kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne mkoani hapa, unaotarajia kufanyika kuanzia tarehe 23 Novemba, ...
Posted on: November 7th, 2020
Mwandishi wa Vitabu Bw. Richard Mabala ametoa msaada wa nakala 120 za vitabu vya fasihi vya "Hawa The Bus Driver" na "Mabala the Farmer " kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha pili ...