Posted on: June 14th, 2017
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limetambua mchango wa Mkoa wa Simiyu katika Utekelezaji wa Sera ya Viwanda na kutoa Tuzo ya kikombe na Cheti.
Tuzo hizo zilikabidhiwa kwa Mkuu...
Posted on: June 8th, 2017
Shirika la Kidini la Madhebu ya Kikristo la Life Ministry limetoa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 40 kwa Hospitali Teule ya Mkoa wa Simiyu, Mjini Bariadi.
Akipokea vifaa hivy...
Posted on: May 31st, 2017
Mkoa wa Simiyu umeweka historia ya Mchezo wa Mpira wa Miguu baina ya wachungaji na waganga wa jadi ikiwa ni makubaliano ya kutoa ujumbe wa kupinga mauaji ya watu wenye Ualbino na vikongwe kwa kupiga m...