Posted on: July 9th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu imetakiwa kutoa kipaumbele kwa wawekezaji wazawa pindi wanapogawa maeneo ya uwekezaji wa viwanda ili kusaidia kukuza ajira na uchumi ndani na nje ya Mkoa, ...
Posted on: July 8th, 2017
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Ndg. Amour Hamad Amour ametoa wito kwa wananchi kupenda na kuthamini bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
Amour ametoa wito huo wakati alipokuwa akitoa ujumbe...
Posted on: July 7th, 2017
Wanafunzi wa shule za sekondari wilayani Bariadi mkoani Simiyu wamehimizwa kusoma masomo ya sayansi ili kuendana na azma ya Serikali ya awamu ya tano ya Uchumi wa Viwanda kama inavyoelezwa pia katika ...