Posted on: August 14th, 2017
Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) imeanza kutoa mafunzo ya siku tano ya Utawala na Uongozi wa Michezo Mkoani Simiyu, ambayo yamelenga kuleta tija katika kusimamia na kuendeleza Michezo.
Mafunzo hayo...
Posted on: August 9th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amesema Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) yalenge kuwashindanisha washiriki katika vigezo vinavyolenga kutatua tatizo la njaa na kuwainua wananchi ki...
Posted on: August 6th, 2017
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amefungua Mashindano ya Mbio za Baiskeli na Ngoma za Asili Mjini Bariadi(Simiyu Jambo Festival) ambayo yamehudhuriwa na ...