Posted on: March 3rd, 2021
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga amewataka wataalam kufanya ukaguzi wa matumizi ya chumvi isiyo na madini joto katika maeneo tofauti mkoani Simiyu ili kuweza kupata uhalisia wa hali ...
Posted on: March 2nd, 2021
Takribani kilo 145,000 za zao la choroko mkoani Simiyu zimeuzwa kupitia mnada uliofanyika kwa mara ya kwanza katika ghala lililopo kiwanda cha zamani cha kuchambua pamba cha Sola wilayani Maswa, ambap...
Posted on: March 1st, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka amemuagiza Mrajisi msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Simiyu, Bw. Ibrahim Kadudu kutoa vibali kwa wafanyabiashara wa choroko kwa ajili ya kusafirisha maen...