Posted on: February 16th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka amesitisha malipo ya shilingi bilioni 1.9 kwa wakandarasi watatu, ambao ni Simiyu Investiment Co. Ltd, Nselema Associtates Co. Ltd na Great Lakes...
Posted on: February 15th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Festo Kiswaga amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kumtafuta mkandarasi wa Kampuni ya LNGA na ku...
Posted on: February 14th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amesema mkoa huo unatarajia kuvuna kilo milioni 300 za zao la pamba katika msimu wa mwaka 2017/2018
Mtaka aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza ...