Posted on: April 14th, 2021
Watumishi waliostaafu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wamewaasa watumishi wa Umma kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma ili waweze kutekeleza majukumu yao vizuri na kumaliza salama safari yao ya utumi...
Posted on: April 8th, 2021
Uongozi wa mkoa wa Simiyu umetoa siku saba kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi na Ofisi ya Madini Mkoa wa Simiyu kupitia malalamiko na hoja zote za wachimbaji wadogo, wamiliki wa mashamba na wadau ...
Posted on: March 14th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka ametoa rai kwa Viongozi wa Serikali mkoani hapa kutumia busara na akili badala ya kutumia nguvu katika kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi k...