Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia idara ya ukuzaji viumbe majini imetoa vifanga vya samaki aina ya sato zaidi ya 7000 kwa wananchi wa Kata ya Mwamapalala yenye vijiji vitano wilayani Itilima, ili kupandikiza katika Bwawa la Mwamapalala, ili kuwapatia kipato na lishe bora.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa