Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Bw. Jonas Lubago ameishukuru na kuipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa kujali sana kundi la watu wenye ulemavu, ambapo kundi hili limepata uwakilishi kwenye idara mbalimbali na vikao vyote nchini.
Lubago ameyasema hayo Desemba 02, 2019 katika la Watu wenye ulemavu liliofanyika Mjini Bariadi ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani Desemba 03, 2019 ambayo yanafanyika Kitaifa Mkoani Simiyu.
PICHA ZAIDI FUNGUA KIUNGANISHI HIKI:-https://simiyuregion.blogspot.com/2019/12/watu-wenye-ulemavu-waipongeza-serikali.html
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa