• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Wafungwa 136 Waachiwa Huru Simiyu Kufuatia Msamaha wa Rais, Waahidi kuwa Raia Wema

Posted on: December 10th, 2019

Jumla ya wafungwa 136 kutoka magereza za Mkoa wa Simiyu wameachiwa huru kufuatia msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John  Pombe  Magufuli alioutoka Desemba, 2019 katika sherehe za maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika jijini Mwanza.

Akitoa taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari Desemba 10, 2019 Mkuu wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Simiyu, ACP. Andulile Mwasampeta amesema  anamshukuru Mhe. Rais Magufuli  kitendo hicho cha kutoa msamaha ambacho kimesaidia kupunguza msongamano kwenye magereza ya mkoa wa Simiyu.

“Ninamshukuru sana Mhe. Rais Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kwa kutoa msamaha huu ambao umepunguza msongamano katika magereza yetu hususani gereza la Bariadi; nitumie nafasi kuwaasa wafungwa waliosamehewa kwenda kuwa raia wema na wakafanye kazi halali na wasifanye makosa yatakayowaleta tena hapa gerezani,” alisema ACP Mwasampeta

ACP Mwasampeta ameongeza kuwa wafungwa 136 waliopata msamaha wa Rais katika mkoa wa Simiyu ni wale waliokuwa wamebakisha muda wa  siku moja hadi miezi sita miezi 12 kumaliza muda wa vifungo vyao, ambapo amebainisha kuwa wamezingatia maelekezo ya Mhe. Rais katika vigezo vya watu walioachiwa huru.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka kwa kufanikisha zoezi la kuwaleta pamoja wafungwa wote waliopata msamaha wa  Rais kwa kutoa magari  yaliyowezesha jeshi la magereza kuwachukua katika magereza mbalimbali mkoani Simiyu na kuwaleta katika gereza la Bariadi ambapo ndipo walipoanzia safari ya kurejea majumbani kwao.

Kwa upande wao wafungwa waliopata msamaha wa Rais na kuachiwa huru wamemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kutoa msamaha huo na kuahidi kuwa raia wema watakaofanya kazi halali na kujiepusha na makosa yote yanayoweza kusababisha wakarudi tena gerezani.

“Namshukuru sana Mhe. Rais kwa msamaha huu alioutoa kwa wafungwa zaidi ya 5000 tuliokuwa magereza mbalimbali niseme tu kwamba wale wote waliokuwa wafungwa kama mimi na wakapata msamaha huu tukawe raia wema na tukachape kazi tujenge nchi yetu, “ alisema Buluba George miongoni mwa wafungwa 136 mkoani Simiyu

“Mimi naahidi kwenda kujishughulisha na shughuli za kuniwezesha kupata kipato, nitajitahidi kufanya kazi kwa bidii ili nisije nikaletwa tena huku gerezani, namshukuru sana Rais Magufuli kwa kutupa msamaha huu,” alisema Musa Lazaro miongoni mwa wafungwa 136 mkoani Simiyu

MWISHO

KUPATA PICHA ZAIDI FUNGUA KIUNGANISHI:-https://simiyuregion.blogspot.com/2019/12/wafungwa-136-waachiwa-huru-simiyu.html

Matangazo

  • Wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu waliochaguliwa Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Shule za Serikali za Bweni na Kutwa December 18, 2020
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu July 04, 2022
  • " Tuna zoezi la Senza Mbele yetuni tarehe 23 Agosti 2022 Binafsi nipo tayari kuhesabiwa, nawe ukihesabiwa, wore tutakuwa tumehesaniwa na mipango endelevu itapangwa Kwa ajili yeti. Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa" Mhe. David Kafulila July 08, 2022
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2020 - Chaguo la Pili (Second Selection) January 03, 2020
  • Fungua

Habari Mpya

  • DKT. YAHAYA ESMAIL NAWANDA MKUU WA MKOA MPYA SIMIYU

    July 28, 2022
  • RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

    July 13, 2022
  • WANAOWAKOPA WAKULIMA WA PAMBA KUKIONA-RC KAFULILA.

    July 09, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Umewasili Mkoani Simiyu

    July 06, 2022
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa