• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Simiyu Yawa Kinara Mtihani Wa Taifa Kidato Cha NNe na Darasa la Saba 2021, Asilimia 50 ya Wasichana 10 bora Kitaifa/Msingi watoka Simiyu

Posted on: February 9th, 2022

Mkoa wa Simiyu, umeshika nafasi ya tatu(3) kitaifa matokeo ya kidato cha nne(IV), ukiwa mkoa pekee wenye halmashauri mbili zilizoongeza ufaulu kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo (halmashauri hizo ni halmashauri ya  Meatu na Busega).

Aidha katika matokeo ya mtihani wa Taifa wa Elimu ya Msingi (PSLE) 2021 kwa shule za Msingi za Serikali, kati ya shule kumi bora zilizoongoza katika ufaulu wa mtihani huo, shule ya kwanza iliyongoza katika ufaulu kitaifa ni shule ya Msingi Mwanhegele yenye usajili Namba PS2705086 iliyopo wilayani Maswa,mkoani Simiyu.

Hali kadhalika kati ya watahiniwa bora  kumi (10) kitaifa  kutoka  shule za Serikali kwa mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi (PSLE),2021, mmojawapo kati ya wanafunzi kumi bora ametokea mkoa wa Simiyu.Aidha, kati ya Wasichana kumi (10) bora kitaifa, katika mtihani huo, asilimia 50 ya wasichana bora kitaifa wametoka Mkoa wa Simiyu. Wakiongozwa na bi.Hollo Seni Mbuga, kutoka shule ya Msingi Inonelwa - Meatu, ambaye ni wa kwanza kitaifa, Lydia Kija Mashala toka shule ya msingi Mwanhegele-Maswa akiwa namba tatu, Dorica Yusuph Joseph toka shule ya msingi Mwanhengele-Maswa, akiwa namba 5, Kundi Shibu Satto toka Mwakaluba-Meatu akiwa namba 6 na Jackline Luswaga Emmanuel toka shule ya Msingi Mwanhegele-Maswa  akiwa mshindi namba 10.

Kufuatia matokeo hayo, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.David Kafulila  amewapongeza  Wanafunzi,Waalimu,maafisa elimu wa ngazi zote sanjali na wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na wanataaluma wote kwa  usimamizi imara na kuendelea kuchapa kazi licha ya changamoto  mbalimbali wanazokabiliana nao. Kazi iendelee.

Matangazo

  • Wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu waliochaguliwa Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Shule za Serikali za Bweni na Kutwa December 18, 2020
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu July 04, 2022
  • " Tuna zoezi la Senza Mbele yetuni tarehe 23 Agosti 2022 Binafsi nipo tayari kuhesabiwa, nawe ukihesabiwa, wore tutakuwa tumehesaniwa na mipango endelevu itapangwa Kwa ajili yeti. Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa" Mhe. David Kafulila July 08, 2022
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2020 - Chaguo la Pili (Second Selection) January 03, 2020
  • Fungua

Habari Mpya

  • DKT. YAHAYA ESMAIL NAWANDA MKUU WA MKOA MPYA SIMIYU

    July 28, 2022
  • RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

    July 13, 2022
  • WANAOWAKOPA WAKULIMA WA PAMBA KUKIONA-RC KAFULILA.

    July 09, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Umewasili Mkoani Simiyu

    July 06, 2022
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa