Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ambazo hapo awali zilikuwa katika eneo la Somanda zimehaimishwa katika Jengo jipya la Utawala lililopo katika Mji wa Kiserikali Nyaumata hatua inayotajwa kuimarisha mara dufu utendaji kazi wa utoaji wa huduma kwa Wananchi.
Kwa sasa Ofisi zote zimehamia katika jengo hilo jipya ambalo limekwisha kamilika kwa Asilimia 99.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa