Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi. JosephNyamuhanga amesema Serikali katika Bajeti ya mwaka 2020/2021 Serikali imetengakiasi cha shilingi bilioni moja kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wawodi tatu katika kila Hospitali ya Wilaya kwenye Hospitali 67 za Wilayazilizojengwa hapa nchini.
Mhandisi Nyamhanga ameyasema hayo wakatialipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri yaWilaya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa ambapoameoneshwa kuridhishwa na kazi ya ujenzi inayoendelea.
Aidha,Nyamhanga ameziagiza Halmashauri 30 nchini zilizohamia katika maeneo mapyakiutawala pamoja na mikoa mipya kuanza maandalizi ya mchakato wa manunuzi kwaajili ya ujenzi wa Majengo ya Utawala ili kufikia Desemba 31, 2020 Halmashaurihizo na mikoa mipya ziwe zimekamilisha ujenzi wa Majengo ya utawala.
KUPATA PICHA ZAIDI FUNGUA KIUNGANISHI HIKI:-https://simiyuregion.blogspot.com/2020/04/serikali-yatenga-bilioni-moja-kujenga.html
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa