• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

RC SIMIYU AWATAKA WAKURUGENZI/MAAFISA UTUMISHI KUDHIBITI MIKOPO UMIZA KWA WALIMU.

Posted on: September 20th, 2023


Bariadi,

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt. Yahya Nawanda amewataka wakurugenzi wote na Maafisa Utumishi katika Halmashauri zote za Mkoa huo, kuhakikisha wanawasimamia walimu ipasavyo ili wasijiingize katika mikopo umiza.

Dkt.Nawanda  ametoa maagizo hayo leo, wakati akifungua warsha ya siku ya moja ya Siku ya Mwalimu Mkoani humo ijulikanayo kama Mwalimu Spesho ambayo iliandaliwa na Benki ya NMB.

 Amesema  walimu wengi wameendelea kuteseka na taasisi ambazo siyo rasmi zinazojihusisha na utoaji wa mikopo, huku baadhi yao wakiamua kuacha kazi kutoka kuzidiwa na madeni.

Mwalimu anakopa hadi asilimia 100 ya mshahara wake, alafu wewe Afisa Utumishi upo ofisini na unaona, tunajua baadhi yenu mnahusika, nichukue nafasi hii kuwaonya, ukibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yako,” ameongeza Dkt. Nawanda.

Katika Hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa amewataka na walimu kubadilika na kwenda katika taasisi ambazo ni rasmi ikiwemo benki ya NMB kwa ajili ya kupata mikopo yenye riba nafuu.

“ Hata sisi walimu tubadilike sasa, tuache kwenda kwenye hiyo mikopo umiza, NMB leo wamekuja na mikopo yenye riba nafuu kupitia kifurushi cha Mwalimu Spesho, tukitumia njia hii tutafanya kazi kwa amani,” amesema Dkt. Nawanda.

Aidha Dkt.ameipongeza NMB kwa kuona umuhimu wa kukutana na walimu na kuwapa elimu ya ujasliamali pamoja na kuwanoyesha huduma mbalimbali za mikopo inayotolewa na benki hiyo kupitia mfumo wa Mwalimu Spesho.

Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio amesema kuwa kada ya ualimu bado imeendelea kukubwa na changamoto kubwa ya kwenda kukopa katika taasisi za kifedha ambazo siyo rasmi na baadaye kukubwa na msongo mkubwa wa mawazo kutokana na mikopo wanayopata kuwa na riba kubwa.

Amesema kuwa Benki ya NMB baada ya kuona changamoto hiyo, iliamua kuanzisha utaratibu wa kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa kada hiyo kupitia mfumo wa Mwalimu Spesho ambayo inamwezesha Mwalimu kuondokana na mikopo umiza.


GCO

Simiyu RS

20 Septemba 2023.

Matangazo

  • No records found
  • Fungua

Habari Mpya

  • RC SIMIYU AKAGUA UJENZI KITUO CHA KUPOOZEA UMEME BARIADI,UJENZI MRADI WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 SHINYANGA(IBADAKULI) -SIMIYU (BARIADI) KM 110.

    October 25, 2023
  • RC SIMIYU AWATAKA WAKURUGENZI/MAAFISA UTUMISHI KUDHIBITI MIKOPO UMIZA KWA WALIMU.

    September 20, 2023
  • WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MSAADA WA KISHERIA SIMIYU.

    September 20, 2023
  • SIMIYU WAITIKIA KWA KISHINDO KAMPENI YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA, KUTENGA CHUMBA KILA KATA,KIJIJI KWA AJILI YA UTOAJI MSAADA WA KISHERIA BAADA YA KAMPENI, RC SIMIYU ATOA WITO KWA WANANCHI KUTUMIA VYEMA FURSA HIYO.

    September 18, 2023
  • Fungua

Video

Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa