• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Media Centre
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

RC SIMIYU AKABIDHI BAISKELI NA FEDHA KWA MWANAFUNZI AISHIYE KATIKA MAZINGIRA MAGUMU BARIADI TC

Posted on: May 3rd, 2023

Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt.Yahaya Nawanda akimkabidhi Mwanafunzi Misana Salu Salilu  wa Kidato cha tatu Shule ya Sekondari Ntuzu Bariadi,Baiskeli kwa ajili ya kumrahishishia usafiri ili kufika Shule kwa wakati


Na::GCO-Simiyu          

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt Yahaya Nawanda leo 13 Mei 2023 amemkabidhi Baiskeli aina ya Phonex pamoja na Fedha Taslimu Shilingi Elfu Themanini na Sita kwa ajili ya Mahitaji mbalimbali ya shule Mwanafunzi Misana Salu Salilu wa Kidato cha tatu kutoka Shule ya Sekondari Ntuzu katika Halmashauri ya Mji Bariadi.

Misana ambaye kwa sasa anaishi na Bibi yake ambae ni Mlemavu  amekabidhiwa zawadi hiyo ya Basikeli   ili kumrahisishia kufika shuleni kwa wakati kutokana na kuishi mbali na Shule.

Akikabidhi zawadi hiyo Ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt.Nawanda amemsisitiza Mwanafunzi Misana kusoma kwa bidii ambapo pia ametoa wito kwa Jamii kujitolea kuwasaidia Wanafunzi waishio katika mazingira magumu.

Kwa Upande wake Mwanafunzi Missana Salilu baada ya kupokea zawadi hiyo amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa zawadi ya Baiskeli na Fedha Taslimu ambapo ameeleza kufarijika kwa msaada huo.

Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Mji Bariadi Bi.Hellen Mselle amemshukuru mkuu wa Mkoa ambapo ameeleza kuwa Usafiri huo utamsaidia Msichana huyo kwa ajili ya Usafiri wa kuwahi shule pamoja na kumsaidia Bibi yake kwa ajili ya shughuli ndogondogi kama vile kuchota maji na kazi nyingine ndogondogo.

Naye Afisa Elimu Mkoa wa Simiyu Bw.Majuto Njanga ametoa wito kwa Jamii kusaidia watoto wenye uhitaji kwa kuwa kutoa ni Moyo na Sio Utajiri.

 

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 01, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • SIMIYU RS WAHAMIA JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA

    June 03, 2024
  • RC NAWANDA ARIDHISHWA NA UJENZI MRADI WA MAJI MWABUMA/MWASHATA MEATU.

    May 30, 2024
  • RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

    May 29, 2024
  • SHULE 8 ZA MSINGI ZAPATIWA VIFAA VYA TEHAMA SIMIYU.

    April 20, 2024
  • Fungua

Video

MIAKA MINNE YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • TUME YA RAIS UKUSANYAJI MAONI MABORESHO YA KODI YATUA SIMIYU
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii
  • SIMIYU- RS TV

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani
    • Video

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa