• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Mgeni Rasmi Serengeti Safari Marathon

Posted on: November 12th, 2020

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya Serengeti Safari Marathoni yanayotarajiwa kufanyika tarehe 14 Novemba 2020 kuanzia lango la Ndabaka wilayani Busega mkoani Simiyu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 12, 2020 ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema mbio hizo zitahusisha mikoa miwili ya Simiyu na Mara  na akatoa wito kwa wananchi wa mikoa ya hiyo kujitokeza kwa kushiriki katika mbio hizi ambazo zinalenga kutangaza hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo asilimia 70 ipo mkoa wa Mara na asilimia 30 ipo mkoa wa Simiyu.

“Mhe. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete atakuwepo hapa tarehe 13/11/2020, tarehe 14/11/2020 ataanzisha rasmi mbio hizo na atashiriki mbio za kilomita tano na baadaye ataongoza uvalishaji wa medali kwa wachezaji na washiriki watakaokuwepo kwenye mbio ndefu,” alisema Mtaka.

Kwa upande wake  Mkurungenzi wa Serengeti Safari Marathon Bw.Timothy Mdinka amesema lengo kubwa la Serengeti Safari Marathon ni kukuza utalii wa ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa Mbio hizi zimeanza tarehe 12/11/20 na Kilele chake ni 14/11/2020.

Kutakuwa na aina nne za mbio; ambazo ni kilomita  42 (Half Marathon),  Kilomita 21 (Half Marathon), Kilometa 10 (Executive Run)  na kilomita tano (Fun Run);  kwa washindi zinategemeana na aina ya Mbio, Zawadi zitaanzia Tsh. 100,000/= hadi Tsh.600,000/=, ,” alisema Mdinka.

Mdinka ameongeza kuwa wanatarajia kuwa na washiriki takribani  800, kutoka mikoa yote nchini, ,Afrika Mashariki na Ulaya ya Mashariki ambapo pia amebainisha kuwa kutakuwa na mbio za watoto, lengo likiwa kuwahamasisha watoto wawe wakimbiaji wazuri wa baadaye.

MWISHO

KUPATA PICHA ZAIDI FUNGUA KIUNGANISHI HIKI:-https://simiyuregion.blogspot.com/2020/11/rais-mstaafu-jakaya-kikwete-mgeni-rasmi.html


Matangazo

  • Wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu waliochaguliwa Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Shule za Serikali za Bweni na Kutwa December 18, 2020
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu July 04, 2022
  • " Tuna zoezi la Senza Mbele yetuni tarehe 23 Agosti 2022 Binafsi nipo tayari kuhesabiwa, nawe ukihesabiwa, wore tutakuwa tumehesaniwa na mipango endelevu itapangwa Kwa ajili yeti. Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa" Mhe. David Kafulila July 08, 2022
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2020 - Chaguo la Pili (Second Selection) January 03, 2020
  • Fungua

Habari Mpya

  • DKT. YAHAYA ESMAIL NAWANDA MKUU WA MKOA MPYA SIMIYU

    July 28, 2022
  • RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

    July 13, 2022
  • WANAOWAKOPA WAKULIMA WA PAMBA KUKIONA-RC KAFULILA.

    July 09, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Umewasili Mkoani Simiyu

    July 06, 2022
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa