Makabidhiano ya Ofisi: Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka,ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, leo hii amemkabidhi rasmi Ofisi,Mkuu wa Mkoa Mpya Mhe. David Kafulila. Makabidhiano hayo yamefanyika leo hii katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa, mjini Bariadi, ambapo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Bi. Shemsa Mohamed Seif akiwa ameambatana na viongozi wa Chama na Serikali, Viongozi wa Mkoa wakiongozwa na Katibu Tawala Bi. Miriam Mmbaga walihudhuria hafla hiyo.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa