Na. harunataratibu82@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko Kwa baadhi ya wasaidizi wake katika ngazi za mikoa, katika nafasi za wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa.
Mhe. Rais amemteua Dkt. Hahaya E. Nawanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kuchukua nafasi ya Mhe. David Kafulila ambaye ameondolewa katika nafasi hiyo.
Mhe. Nawanda alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini kabla ya hapo alihudumu katika nafasi hiyo katika wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa