Posted on: December 15th, 2018
Mkoa wa Simiyu umeidhinishiwa jumla ya shilingi bilioni 13.1 kwa ajili ya matengenezo ya barabara na miradi ya maendeleo katika bajeti ya mwaka 2018/2019.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa Waka...
Posted on: December 14th, 2018
Jumla ya Wanafunzi 12,399 mkoani Simiyu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2019 katika shule za Serikali za kutwa na bweni kwa awamu ya kwanza.
Hayo yamebainishwa na Katibu Tawal...
Posted on: December 12th, 2018
Mkoa wa Simiyu umejipanga kuandaa mwongozo wa uwekezaji kwa kila Kijiji na Mtaa utakaobainisha fursa za uwekezaji zilizopo katika kijiji na mtaa husika katika vijiji vyote 471 na Mitaa 92 ya wil...