Posted on: November 28th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Mhe. Benson Kilangi ametoa wito kwa wananchi na viongozi mkoani hapa kuona umuhimu wa kushiriki michezo kwa ajili ya kuimarisha afya.
Kilangi ameyasema hayo...
Posted on: November 26th, 2020
Zaidi ya wanamichezo 300 kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini wanatarajia kushiriki Tamasha la Simiyu Jambo Festival ambalo litahusisha mashindano ya mbio za baiskeli, ngoma za asili(wagika na wagalu),...
Posted on: November 25th, 2020
Takribani vijana 664 mkoani Simiyu wanatarajia kunufaika na ajira za muda katika msimu huu ,baada ya kupata mafunzo ya matumizi sahihi ya viuatilifu kwa ajili ya kukabiliana na wadudu wasu...