Posted on: May 8th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewakabidhi pikipiki Maafisa Tarafa 15 wa Mkoa huo ambazo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe ...
Posted on: May 7th, 2020
Shirika lisilo la kiserikali la Doctor with Africa CUAMM linalofanya kazi na Mkoa wa Simiyu kama mdau wa Afya katika masuala ya UKIMWI na Huduma za Afya ya Mama na mtoto limetoa msaada wa vifaa kinga ...
Posted on: May 5th, 2020
Mkoa wa Simiyu umezindua mpango mkakati wa kuwawezesha wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kusoma katika kipindi hiki cha likizo ya dharula ya tahadhari ya ugonjwa wa homa ya mapafu ( COVID 19) ...