Posted on: August 28th, 2020
Mkoa wa Simiyu umeahidi kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya Maulidi ya Kitaifa inayotarajia kufanyika Oktoba mkoani Kagera.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam...
Posted on: August 27th, 2020
Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) kimeahidi kuwa kiko tayari kuanzisha kituo cha kupima makohozi kwa kutumia panya waliofundishwa kubaini vijidudu vya Ugonjwa wa Kifua Kikuu ambao ...
Posted on: August 26th, 2020
Timu ya wataalam kutoka Mkoa wa Katavi imefanya ziara Agosti 26, 2020 mkoani Simiyu kwa lengo la kujifunza namna kufanya Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima (Nanenane) ambayo yamefanyika K...