Posted on: August 7th, 2018
RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini Mkapa kesho Agosti 08, atakuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maonesho ya Sherehe ya wakulima Nanenane Kitaifa mwaka 2018, ambayo yanafanyika katika ...
Posted on: August 3rd, 2018
Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba amewataka Waandaaji wa Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nanenane hapa nchini kuhakikisha kuwa kuanzia mwaka 2019 wanaandaa maonesho hayo katika sura mpya...
Posted on: August 2nd, 2018
Naibu waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa amewapongeza viongozi wa Mkoa wa Simiyu kwa kujenga Jengo la Kudumu (Simiyu Exhibition Hall), katika Uwanja wa Maonesho wa Nanenane wa Kanda ya Ziwa Mashari...