Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amekutana na Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania-Mh.Song,Geum-Young- na kufanya mazungumzo.
Mazungunzo hayo yamelenga vipaumbele vya Mkoa wa Simiyu ikiwa ni pamoja na Kuwajengea uwezo watumishi (Capacity Building) wa mkoa huo katika maeneo ya Kilimo, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), Uvuvi wa kisasa na ongezeko la thamani katika zao la pamba na vifaa tiba.
Aidha, katika wamezungumza juu ya suala la utumiaji wa 'Drone' kwenye upimaji wa ardhi (Digital Maping).
#SimiyuBidhaaMojaWilayaMoja#
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa